Friday, December 7, 2012

KULINDA MAZINGIRA YA MTAA WA KINGUGI

Baadhi ya Wakazi wa Mtaa wa Kingugi Kata ya Kiburugwa wa kijitolea kwa nguvu na mali katika kuboresha mazingira ya Mtaa wao chini ya Mhandisi wa Mtaa Ndugu Siraji Rajabu.Hii ilikuwa siku ya Jumapili ya tarehe 2/12/2012.
Mvua zilizonyesha mwishoni mwa mwezi wa Novemba,2012 zilileta athari kama inavyoonekana katika picha.Hili ni eneo la msikiti wa kwa Dumba lume.

Mhe. Diwani Mawazo Waziri wa Kata ya Kiburugwa akisisitiza jambo  kuhusu  miundo mbinu katika mkutano wa hadhara Mtaa wa Kingugi mapema Novemba,2012.

Mkazi wa Kingugi,Yahya Dihenga akijitolea kujenga Mtaro kuelekea Mto Mzinga siku ya Jumapili, tarehe 2/12/2012.Huu ni utaratibu ambao Wakazi wa Kingugi wamejiwekea kila siku ya Jumapili lazima wafanye jambo fulani kuhusu mazingira yao.

No comments:

Post a Comment